Flatnews

Rais wa Tanzania Dk.John Pombe Maguli amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kujionea hali ya utoaji huduma kwa wagonjwa.

Awali Rais Magufuli alifika katika Hospitali ya Aga Khan kumjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha

Awali Rais Magufuli alifika katika Hospitali ya Aga Khan kumjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha
sheria na haki za binadamu Dr Helen Kijo-Bisimba anayepatiwa matibabu na vipimo katika hospitali hiyo baada ya jana kupata ajali katika makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam.

Related

NEWS 993266641364901178

Post a Comment

emo-but-icon

item