BREAKING NEWS:LUIS SUAREZ KUKOSA KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUUMIA GOTI
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/breaking-newsluis-suarez-kukosa-kombe.html
Mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez ameumia goti akiwa mazoezini na ushiriki wake kwenye Kombe la Dunia uko mashakani.
Striker huyo wa Liverpool atafanyiwa upasuaji mdogo leo. Kupona jeraha
kama hilo huchukua kati ya siku 15 hadi 20. Taarifa hizi ni kwa mujibu
wa vyombo vya habari vya Uruguay. Suarez alimaliza msimu wa EPL kama
mfungaji bora baada ya kupachika mabao 31.