Flatnews

PICHA...BUNGENI KUNACHIMBIKA UKAWA WAMEAMUA TENA, MBUNGE WA CHADEMA AGEUKA MFALME BILA KUPENDA..HIVI NDIVYO ILIVYO HUKO DODOMA

                            Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche akibebwa na wapiga wake mara baada ya kuapishwa leo Bungeni mjini Dodoma. K...


                           
Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche akibebwa na wapiga wake mara baada ya kuapishwa leo Bungeni mjini Dodoma.
Katika isiyo ya kawaida wananchi ambao ni wapiga kura kutoka Tarime Vijijini mkoani Mara wamemvamia na kumbeba juu juu kama mfalme Mbunge wao Bw.John Heche Wegesa mara baada ya kuapa ambapo sasa ni Mbunge rasmi wa Jimbo hilo.
Wananchi hao waliozingira nje ya ukumbi wa Bunge walio onekana wenye furaha huku wakiimba nyimbo mbalimbali kwa lugha ya makabila yao mara baada ya kumuona Mbunge wao Bw.Heche akitoka Bungeni kuapishwa.
Aidha, Heche alimbwaga mpinzani wake kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Kangoye Christopher Ryoba katika uchaguzi mkuu uliofanyika 0ktoba 25.
Katika uchaguzi huo Heche alipata kura47,249 huku mpinzani wake wa karibu akiambulia kura 42325.
                                           
Wananchi wakimpongeza John Heche baada ya kuapishwa kuwa Mbunge rasmi w Musoma Vijijini

Related

NEWS 2286466753925346619

Post a Comment

emo-but-icon

item