Flatnews

TAZAMA MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA CAPITAL ONE CUP ZILIZOCHEZWA JUMATANO

Ukiachana na London Derby kati ya Tottenham dhidi ya Arsenal, michezo mingine ya michuano ya kombe la Capita One ilirindima kwenye ...


Ukiachana na London Derby kati ya Tottenham dhidi ya Arsenal, michezo mingine ya michuano ya kombe la Capita One ilirindima kwenye viwanja vingine saba tofauti ambapo timu nyingine 14 zilikuwa zikitafuta nafasi ya kusonga mbele kwenye michuano hiyo.

Mechi hizo zilikuwa ni Crystal Palace vs Charlton Athletic, Milton Keynes Dons vs Southampton, Newcastle United vs Sheffield Wednesday, Norwich City vs West Bromwich Albion, Tottenham Hotspur vs Arsenal, Walsall vs Chelsea, Liverpool vs Carlisle United na Manchester United vs Ispwich Town.
Matokeo ya mechi zote hizo zilizopigwa usiku wa Jumanne yalikuwa kama ifuatavyo;
Matokeo CO

Related

SPORTS 3038650434814253811

Post a Comment

emo-but-icon

item