ORODHA YA WACHEZAJI 10 AMBAO SURA ZAO NI TOFAUTI NA UMRI WAO
Kwenye maisha kuna vitu vingi sana ambavyo vinaweza vikasababisha watu wakakutafsiri tofauti na ulivyo, wakati mwingine unaweza kumwang...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/07/orodha-ya-wachezaji-10-ambao-sura-zao.html
Kwenye maisha kuna vitu vingi sana ambavyo vinaweza vikasababisha watu wakakutafsiri tofauti na ulivyo, wakati mwingine unaweza kumwangalia mtu usoni (sura) na ukabashiri
miaka yake au umri alionao. Lakini wachezaji hawa wanaocheza soka nyuso zao na umri wo ni vitu viwili tofauti, ukiangalia nyuso zao utagundua kwamba wanaweza kuwa na umri mkubwa lakini kumbe sivyo ndivyo. Sasa je, wanadanganya au la?
10. Kurt Zouma-Miaka 20
9. Radamel Falcao – Miaka 29
8. Charlie Adams – Miaka 29
7. Danny Ings – Miaka 22
6. Jonjo Shelvey – Miaka 23
5. Pablo Zabaleta – Maika 30
4. Jeremy Toulalan – Miaka 31
3. Arjen Robben – Miaka 31
2. Diego Costa – Miaka 26
1. Joseph Minala – Miaka 18