JACQUELINE WOLPER: MIMI NA LOWASA HADI KIFO!
Staa wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper. STAA wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga machozi us...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/07/jacqueline-wolper-mimi-na-lowasa-hadi.html
Staa wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper.
STAA
wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga
machozi usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita kufuatia
kambi yake ya kisiasa ya Edward Lowassa ‘Timu Lowassa’ kukatwa jina kwenye kinyang’anyiro cha urais mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akisema yeye na Lowassa ni mpaka kifo, Amani limeinyaka.

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.Kwa mujibu wa chanzo kimoja ambacho ni rafiki wa Wolper (jina lipo), Jumamosi usiku aliposikia kwamba, jina la Lowassa lilimegwa kwenye mchakato wa Kamati Kuu ya CCM (CC), staa huyo alianza kulia huku akisema amekwisha! <<<<BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI>>>