MWANASHERIA MAKENE ANITOSA JIMBO LA KINONDONI
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mwanasheria wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa k...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/07/mwanasheria-makene-anitosa-jimbo-la.html

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mwanasheria wa siku nyingi, Emmanuel
Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea
kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao
fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote.
Makene ambaye ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Kinondoni amechukua fomu
hiyo leo.