DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.
Mtangaza nia ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha ,akiwa na meneja kampeni wake Voctor (kushoto kwake pamoja n...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/07/davis-mosha-atangaza-rasmi-nia-ya.html
Mtangaza
nia ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha ,akiwa na meneja
kampeni wake Voctor (kushoto kwake pamoja na Goodluck Moshi. |
Baadhi ya makada waliofika katika uwanja huo. |
|
|
Msanii
wa filamu Tanzania Stephen Mengere maarufu kama Steve Nyerere alikuwa
ni mmoja wa makada wa chama hicho waliofika kutoa hamasa katika mkutano
huo uliofanyika katika uwanja wa Mashujaa. |