TAZAMA PICHA KADHAA ZA UBABE WA SIMBA NA MAMBA WAKIGOMBEA MZOGA WA KIBOKO.
https://samchardtz.blogspot.com/2014/07/tazama-picha-kadhaa-za-ubabe-wa-simba.html
Ni
jambo la nadra sana kuona wanyama wanaosifika kwa kuwala wenzao mbugani
kuonekana wakipambana, katika picha hizi zilizopigwa na mtaalam wa
masuala ya teknolojia kutoka San Francisco nchini Marekani, Richard Chew
aliyekuwa kwenye mapumziko na mke wake kwenye mbuga ya Maasai Mara
iliyopo Kenya aliweza kunasa tukio la mamba akipambana na Simba mwenye
njaa wakigombea mzoga wa kiboko aliyekufa, nisikuchoshe ,
NA LARRY BLOG