MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TZ NCHINI URUSI, NA WA UJERUMAN NCHINI TZ NA KUMKARIBISHA MPYA WA UJERUMAN
https://samchardtz.blogspot.com/2014/07/makamu-wa-rais-dkt-bilal-aagana-na.html
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania, Balozi Egon
Kochanke, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo Julai 28, 2014 kwa ajili ya kujitambulisha kuanza kazi. Kushoto ni aliyekuwa Kaimu Balozi wa Ujeruman Tanzania, aliyemaliza muda wake. Hans Koeppel. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi, Luteni Generali
Wyjones Matthew Kisamba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Julai 28, 2014 kwa ajili ya kumuaga akielekea
kuanza kazi. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania, Balozi Egon
Kochanke, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo Julai 28, 2014 kwa ajili ya kujitambulisha kuanza kazi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi, Luteni Generali
Wyjones Matthew Kisamba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Julai 28, 2014 kwa ajili ya mazungumzo. Picha
na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na aliyekuwa Kaimu Balozi wa Ujeruman Tanzania, aliyemaliza
muda wake, Hans Koeppel wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Julai 28, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya
kumaliza muda wake. Kushoto ni Balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania,
Egon Kochanke, aliyefika kujitambulisha kuanza kazi. Picha na OMR