ANGALIA PICHA AJALI YA NDEGE YAUWA MMOJA MAREKANI NA KUJERUHI
https://samchardtz.blogspot.com/2014/07/angalia-picha-ajali-ya-ndege-yauwa.html
Ndogo
ya abiria ambayo imelazimika kutua kwa dharura ufukweni huko Venice
Florida Marekani baada ya kupata tatizo ikiwa angani na rubani kuona
hakukuwa na uwezekano wa kufika uwanja wa ndege alikofanya mawasiliano.
Kutua
huku kwa dharura kumesababisha kifo cha Mwanaume mmoja alikua akitembea
ufukweni huku mtoto wake wa kike akijeruhiwa vibaya kwenye hii ajali.
Rubani na abiria wake hawakuumia kwenye hii ajali ila mtoto wa kike ambae anahisiwa kuwa na umri wa miaka 10 ndio ameumia sana na kukimbizwa hospitali.