Fuse ODG karudi tena na hii, kafanya na Sean Paul. (new video)
https://samchardtz.blogspot.com/2014/07/fuse-odg-karudi-tena-na-hii-kafanya-na.html
Nana Richard Abiona maarufu kama FUSE ODG ambae ni Muingereza mwenye asili ya Ghana, ni staa mwingine ambae ana rekodi zake kwenye list ya mziki mkali wa Afrika 2013/2014.
Baada ya kufanya muziki na mastaa wa dunia kama Wyclef Jean kwenye ‘Antenna‘ ambayo ilishika mpaka nafasi ya 7 kwenye chart za muziki UK na ‘Azonto‘ iliyochukua mpaka namba 30 kwenye chart hizo za UK.
Fuse ODG karudi tena na hii, kafanya na Sean Paul. (new video)