WASIRA (MB) AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/wasira-mb-akiwasilisha-bungeni-taarifa.html
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb)Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15.
Katibu
Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango
(Kushoto) pamoja na Naibu wake, Bw. Maduka Kessy wakifuatilia kwa
umakini uwasilishaji wa Taarifa ya Hali yaUchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15. Picha zote na Thomas Nyindo,Afisa Habari Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango
Wageni
wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa
Stephen Masato Wasira (Mb) ambao ni baadhi ya viongozi waandamizi wa
Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakifuatilia kwa umakini uwasilishaji wa
Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 naMpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15.