Flatnews

DUNIA NZIMA INASUBIRIA `GOMA` LIANZE LEO BRAZIL, NEYMAR AMEIBEBA NCHI YAKE MABEGANI KWAKE


Brazil coach Luis Felipe Scolari and Neymar share a joke ahead of their opening game against Croatia

  •  Matumaini ya Wabrazil kutwaa kombe la dunia yamelalia kwa watu wawili - Luis Felipe Scolari na Neymar
  •  Kocha wa Brazil Scolari anasema `ni muda` wa Brazil kushinda kombe la dunia.
  • Brazil wana rekodi ya kushinda kombe la dunia mara tano, na kombe la mwisho ni lile la Scolari la mwaka 2002.
  • Neymar amebabe matarajio ya taifa lake kwenye mabega yake.
  • Neymar anavaa chezi namba 10 iliyokuwa inavaliwa na gwiji wa Brazil, Pele, na atampatia mama yake baada ya mechi ya ufunguzi.
  • Nyota huyo mwenye miaka 22 amefunga mabao 31 katika mechi 49 alizoichezea timu yake ya Taifa.
  • Scolari anaheshimika na Wabrazil wote hususani baada ya kifo cha mpwa wake.
  • Brazil wanaikabili Croatia katika mchezo wa ufunguzi wa kombe la dunia.
Baada ya burudani kutoka kwa Jennifer Lopez jioni ya leo kwenye sherehe za ufunguzi, ngoma ya kusaka ubingwa wa kombe la dunia itaanza rasmi.
Mashindano haya yamesababisha matatizo nchini Brazil, lakini timu yao ina jukumu moja la kuwatia faraja katika kipindi hiki na kama watashinda kombe itakuwa jambo jema mno.
Kwa watu wa Brazil wanatarajia kuweka kando tofauti zao za kisiasa kwa wiki nne zijazo na kuishangilia timu yao.


Please allow me to introduce to you... Neymar carries the weight of Brazil's expectations on his shoulders
Feeling confident: Luis Felipe Scolari has proclaimed the time has arrived... 'This is our World Cup'
Anajiamini sana: Luis Felipe Scolari  amesema muda wa Brazil umefika...`Hili ni kombe letu`.
Boy from Brazil: Neymar
Poster boy: Neymar
Tricks: Neymar
Hero: Neymar
Iconic: Neymar has taken the No 10 shirt previously worn by Pele, and will give it to his mother after the game
Neymar amechukua jezi namba 10 iliyokuwa inavaliwa na Pele na atamzawadia mama yake baada ya mechi ya leo

Post a Comment

emo-but-icon

item