AINA HII YA USHANGILIAJI WA TMU YA TAIFA ITAKUFA LINI?
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/aina-hii-ya-ushangiliaji-wa-tmu-ya.html
Kumekuwepe na vitendo ambavyo sio vya kizarendo vikijitokeza uwanjani
kipindi timu ya Taifa ya Tanzania inapokuwa ikicheza kwabaadhi ya
Watanzania kuizomea timu na wengine kuishangilia timu pinzani wakati
inacheza na Tanzania hasa katika uwanja wa Taifa wa Tanzania kitu
ambacho kinaonyesha ni jinsi gani Watanzania walivyo hawana mapenzi ya
dhati na timu yao ya Taifa.
Mashabiki hao wa Taifa Stars wamekuwa wakiibuka na aina mbalimbali za kuishangilia ambazo zinawafanya wapinzania kupata nguvu ya kushambulia kwa kasi katika langola Tanzania na kufanya timu hizo ziwe zinapata ushindi.
Aina ya kushangilia ambayo inakera sana ni ile ya kuingia uwanjani kuona timu ya Taifa inacheza lakini wewe mwanzo mwisho umekaa kwenye kiti na kunyoosha kabisa miguu huku ukitaka timu ishende na wengine wakiwa wanairushia matusi timu au wanashangilia kulingana na mchezaji anatoka klabu gani kati ya Simba na Yanga.
Akifanya vizuri mchezaji ambaye anatoka katika klabu ya Yanga utasikia upande ambao imezoeleka wanakaa wanaYanga umeshangilia hari kadharika kwa jukwaa la Simba akiharibu mchhezaji wa Yanga hata iwe kidogo utasikia “ATOKE HUYO HAJUI”
Aina hii ya ushangilia wa timu ya Taifa hauipeleki mbele timu ya
Taifa Ya Tanzania bali unazidi kuidhohofisha kwani kuzomewa uwanjani ni
adhabu kubwa sana.
Kwa wale ambao walibahatika kucheza mpira katika mashindano ya mashule kama UMISETA, UMITASHUMITA moja kwa moja utakuwa unakumbuka dhamani ya kushangiliwa na watu wako ukiwa uwanjani.
Ukweli ni kwamba mchezaji akisikia mashabiki wake wanamshangilia kwa nguvu anajitahidi asiwaangushe hatakama akitolewa roho inamuuma aendelee kucheza nakuwapa raha mashabiki wake, lakini akizomewa nisawa na timu pinzani kubadilisha wachezaji wapya timu nzima dakika ya 80 lazima tu uchoke.
Mw3andishi wetu amefanya mahojianao na baadhi ya wapendasoka nchini juu ya aina ya ushangiliaji katika timu ya taifa na wao walikuwa na haya ya kusema.
“Mpirani mhezo wa burudani na siku zote raha ya mpira ni kushangiria ikiwemo ushindi, kitendi cha kwenda uwanjani na kukaa tuu bila kushangilia hasa katika timu yetuya Taifa iwe imefungwa au kufunga mimi naona ni ujinga tu, tunaona Mataifa ya wenzetu timu unakuta imefungwa 5-0 lakini haizomewi na mashabiki zake zaidi tu ya kusikilizia maumivu” Amesema Juma Kulwa
“Kama ninge kuwa na uwezo mashabiki ambao wanaingia kuangalia michezo ya TaifaStars alafu wanafika na kukaa TFF ingekuwainawatoa nje pia na hao wano zomea timu ya Taifa wangekuwa wanayimwa haki yao ya kuingia uwanyani kwa kufungiwa kabisa maana ukiizomea timu ya Taifa ni sawa na umeukana uraia wako” Amesema Charles Amos
“Wanao izomea timu yetu ya Taifa mimi nadhani sio Watanzania maana Mtanzania mwenyewe wa ukweli ukweli hawezi kushangilia timu pinzani huku imemfunga, kwahiyo hao ambao wanaizomea timu yetu wanaweza wakawa ni wakimbizi maana hawana uzarendo na Tanzania yetu” Amesema Matius Shija.
Mashabiki hao wa Taifa Stars wamekuwa wakiibuka na aina mbalimbali za kuishangilia ambazo zinawafanya wapinzania kupata nguvu ya kushambulia kwa kasi katika langola Tanzania na kufanya timu hizo ziwe zinapata ushindi.
Aina ya kushangilia ambayo inakera sana ni ile ya kuingia uwanjani kuona timu ya Taifa inacheza lakini wewe mwanzo mwisho umekaa kwenye kiti na kunyoosha kabisa miguu huku ukitaka timu ishende na wengine wakiwa wanairushia matusi timu au wanashangilia kulingana na mchezaji anatoka klabu gani kati ya Simba na Yanga.
Akifanya vizuri mchezaji ambaye anatoka katika klabu ya Yanga utasikia upande ambao imezoeleka wanakaa wanaYanga umeshangilia hari kadharika kwa jukwaa la Simba akiharibu mchhezaji wa Yanga hata iwe kidogo utasikia “ATOKE HUYO HAJUI”
Mashabiki wa Tanzani Taifa Stars wakishangilia timu yao ikicheza nyumbani huku wao wakiwa wanashangilia kwa aina ya kukaa kaa.