Picha: Madee akamilisha ujenzi wa nyumba yake yenye thamani ya zaidi ya Mill 100,ajipanga kuachia wimbo mpya
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/picha-madee-akamilisha-ujenzi-wa-nyumba.html
Rapper wa Manzese, Madee ambaye mwaka
jana ulikuwa mwaka wa neeema zaidi kwake katika biashara ya muziki,
hatimaye amemaliza ujenzi wa nyumba yake.
Madee ameaonesha picha ya nyumba yake kwa ndani ikiwa imekamilika na kuandika, “FINALLY. ..karibuni ikulu...#MBEZI# @babutale”
Katika hatua nyingine, msanii huyo
yuko katika maandalizi ya kuachia wimbo mwingine na amewataka mashabiki
wake kutabiri atakuwa ameimba kuhusu nini.