MBURULAZZ MWANAMKE ALIYEOLEWA ANAISHI NA MUME NA BOYFRIEND NYUMBA MOJA..
Tumezoea kuona au kusikia zaidi mwanaume kuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao wanajifahamu, lakini huko Uingereza mwanamke mmoja a...
https://samchardtz.blogspot.com/2014/05/mburulazz-mwanamke-aliyeolewa-anaishi.html
Tumezoea kuona au kusikia zaidi mwanaume kuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao wanajifahamu, lakini huko Uingereza mwanamke mmoja ameamua kuishi na wanaume wake wawili nyumba moja, mmoja ni mume wake wa ndoa na mwingine ni boyfriend wake.
Maria Butzki na wapenzi wake, Maria akiwa na mumewe Paul (kushoto) na boyfriend Pater (kulia)
Mwanamke
huyo Maria Butziki (33) mama wa watoto wawili anauita uamuzi huo kuwa
ni perfect solution ya tatizo lililokuwa linamtatiza la kushindwa
kumuacha yeyote kati yao sababu anawapenda wote. people might think it's
weird but I love both men and couldn't choose between them, alisema
Maria katika mahojiano.
Cha
kushangaza zaidi ni kuwa wanaume wote wawili wamekubaliana na uamuzi
huo na wanaishi kwa furaha kama familia moja pamoja na watoto wawili wa
Maria. Maria aliwahi kuachana na mumewe Paul na kuanzisha uhusiano na
Peter kabla hajagundua kuwa moyo wake hauwezi kumsahau mumewe na wakati
huo huo hawezi kumuacha Peter.
When
I left Paul there was a huge hall in my life. But the thought of never
seeing Peter again was heart breaking. So living with both men is the
only way. Alisema Maria Maria Butzki na familia *Maria akiwa na wapenzi
wake pamoja na mabinti zake wawili kama familia moja*
Upande
wa mumewe Paul yeye kamsifia mume mwenza Peter is a great guy. When
Maria first had the affair with him I was just heartbroken. But as I got
to know him, I realised we have so much in common. We both adore
fishing, and he's like a surrogate dad to the kids
Upande
wa Peter naye amesema anaelewana vizuri na mume wa mpenzi wake na wala
haoni wivu kushare naye mpenzi We all get on so well. It doesn't feel as
if I'm Âsharing Maria. There's no jealousy it feels as if we area
team.
Pamoja
na kuwa wana mahusiano ya kimapenzi lakini Maria amesema huwa
hajichanganyi nao chumba kimoja, boyfriend hulala kwenye kochi wakati
mume ana chumba chake na Maria hulala na mtoto wake mkubwa wa kike.
"The
three of us never share a bed. Although I have a sexual relationship
with each man, that side is kept very private"Alisema Maria.
Najua
unaweza kuwa unajiulizaja watatu hawa wanautaratibu upi katika swala la
kushiriki tendo la ndoa, Maria amesema mmoja kati yao anapokuwa ametoka
basi aliyebaki ndio anapata nafasi ya kufanya naye mapenzi lakini
hawajawahi kuzungumza kwa pamoja kuhusu swala hilo aliloliita