WABUNGE WASHIRIKI ZOEZI LA KUPIMA AFYA ZAO MJINI DODOMA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/wabunge-washiriki-zoezi-la-kupima-afya.html
Waziri wa
Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi (kulia) akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa
Hospitali ya Agha Khan,Sisawo Konteh wakati wa zoezi la upimaji wa Afya
kwa Waheshimiwa Wabunge,Mjini Dodoma jana.Katikani ni Mmoja wa Maafisa
waandamizi wa Hospitali ya Agha Khan.Waziri
wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi aongoza zoezi la kupima afya za Wabunge
katika Ukumbi wa Msekwa jana.Upimaji wa afya za Wabunge umefanywa na
Madaktari wa Aga Khan kutoka Morogoro,Dar. na Dodoma.

Mbunge wa
Jimbo la Mbeya Vijijini,Mchungaji Luckson Mwanjale akimsikiliza kwa
Makini Mtaalam wa Maswala ya Afya kutoka Hospitali ya Agha Khan wakati
wa zoezi la kupima Afya kwa waheshimiwa Wabunge,Mjini Dodoma jana.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (kazi maalum),Prof. Mark Mwandosya akijiandaa kupima uzito wake.

Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi
Juma akipima akichukuliwa vipimo na Daktari kutoka Hospitali ya Agha
Khan.
