PINDA AKUTANA NA BALOZI WA POLAND
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/pinda-akutana-na-balozi-wa-poland.html
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Poland nchini, Mhe.
Marek Ziolkowskoi kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es
salaam, Oktoba 13, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)