TAZAMA PICHA ZA AJALI YA BASI LA WIBONELA MJINI KAMA LEO ASUBUHI HIZI HAPA
Huzuni na majonzi imetanda asubuhi hii katika mji wa Kahama baada ya bus la Wibonela Express linalofanya safari zake Kahama -Dar...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/tazama-picha-za-ajali-ya-basi-la.html
Huzuni
na majonzi imetanda asubuhi hii katika mji wa Kahama baada ya bus la
Wibonela Express linalofanya safari zake Kahama -Dar kupinduka baada ya
kutoka Stand kuu ya Kahama kilomita chache kutoka stand katika eneo la
Phantom na kuua watu wanne na watu wengi kujeruhiwa.
Taarifa
za awali zinasema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi ,huku ikitajwa
kuwa dereva alishindwa kulihili basi hilo na kupinduka katika kona ya
Phantom.
Taarifa zaidi tutakuletea hivi punde
ANGALIA PICHA ZAIDI HAPA CHINI



















