MREMA AENDELEA NA MIKUTANO JIMBONI KWAKE VUNJO.
Mkutano wa hadhara wa chama cha Tanzania Labour (TLP) uliokuwa ukihutubiwa na Mbunge wa jimbo la Vunjo Agustine Mrema jirani na matan...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/mrema-aendelea-na-mikutano-jimboni.html
| Mkutano wa hadhara wa chama cha Tanzania
Labour (TLP) uliokuwa ukihutubiwa na Mbunge wa jimbo la Vunjo Agustine
Mrema jirani na matanki ya Maji katika kijiji cha Mieresini wilaya ya
Moshi vijijini. |
| Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mbunge Mrema. |