NI TIME YAKO KUZIONA PICHA ZINAZOIKARIBISHA SINGLE MPYA YA BARNABA NA VANESSA MDEE
http://samchardtz.blogspot.com/2014/11/ni-time-yako-kuziona-picha.html
Hajafanya kolabo nyingi sana kiasi cha kusema tumezoea, hii ndio sababu nyingine ukisikia V Money ( Vanessa Mdee ) kaungana na msanii mwingine kufanya kazi ya muziki pamoja unakua na hamu ya kuisikia hiyo kazi yenyewe.
Hata
hivyo haiko mbali na wewe manake November 18 2014 ambayo ni Jumanne
wiki hii ndio spika zako zitakupa dakika za hii kolabo inayoitwa siri
ambayo inamuhusisha mkali mwingine aitwae Barnaba. @BarnabaClassic
Baada ya hii picha kupostiwa yaliandikwa haya maneno >>> Barnaba : line 1/
Tren Langu la kutongoza limefunga (:brake )na Kituo ndo wewe kipenzi
Sina mengi Mimi Sio Mtoto wa mujini Nimefunzwa Jandoni Kipenzi- Vanessa
:line 1 Hadithi Hadithi uwongo Njoo Haya nieleze Porojo mie bado Mdogo
!! Ivi ni Juzi ulikuja na Mauwa . Kulikua na Barua ila sikuifungua’ Song
… SIRI … Loading………..:::: traffic ……. Mjiandae kukinga Ajali za masikio
ya watu !!! @vanessamdee




