Flatnews

HIKI NDICHO KIKOSI CHA MAJERUHI WA MAN UNITED VS KIKOSI KILICHOFITI – KUELEKEA EMIRATES JUMAMOSI HI


B2oTfAWIYAEq1cS.jpg-large
Rekodi mbaya ya majeruhi katika klabu ya Manchester United imezidi kushika hatamu baada ya Daley Blind na David De Gea kuingia kwenye listi ya wachezaji majeruhi wakiwa kwenye timu zao za taifa.
Listi ya wachezaji majeruhi wa United inafikia wachezaji 10, na unapoongeza wachezaji ambao wapo kwenye timu nyingine kwa mikopo, unaweza kuunda timu nzuri kabisa inayoweza kushindana kwenye premier league – hata kuweza kuzifunga timu kadhaa kikiwemo kikosi cha United kitachoenda kupambana na Arsenal wikiendi hii?
Kikosi cha wachezaji wa Manchester United walio majeruhi (jezi nyeusi) v kikosi cha walio fiti (jezi nyekundu)—nani nadhani utashinda
Tuambie nani atashinda?
518261c2a949818c352504cd5f29dfc6_crop_exact

Post a Comment

emo-but-icon

item