Flatnews

WAJE, DIAMOND WAFANYA COLLABO


Msanii wa kike kutoka Nigeria, Waje
Msanii wa kike kutoka Nigeria, Waje
Msanii wa kike kutoka nchini Nigeria, Waje ambaye ni mmja ya wasanii wa kimataifa watakaolishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta kesho katika viwanja vya Leaders Club amesema kuwa wimbo wake aliomshirikisha Diamond Platnumz utakuwa ni namba 01 Hit barani Afrika.
Waje ambaye mpaka sasa hajautoa wimbo huo amesema kuwa wimbo haujatoka kwa sababu yeye ni msanii aliye chini ya uongozi hivyo uongozi wake ndio huamua kuachia wimbo pale muda unapofika kwani hataki kufanya makosa aliyowahi kuyafanya kabla ambapo alitoa wimbo na matokeo yake haukufanya vizuri.

Post a Comment

emo-but-icon

item