LAVEDA HATARINI KUTOKA BBA HOTSHOTS
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/laveda-hatarini-kutoka-bba-hotshots.html
Mshiriki wa Tanzania katika shindano la Big Brother Africa: Hotshots,
Laveda yupo katika hatari ya kutoka kwenye msimu huuwa tisa Jumapili
hii hivyo anahitaji kura kutoka kwa Watanzania ili aweze kubaki katika
mashindano hayo.
Washiriki wawili wanatakiwa kuaga mashindano hayo Jumapili hii na Laveda ni miongoni mwa washiriki tisa waliopigiwa kura za kuaga mashindano hayo.
Waliopigiwa kura za kuaga mashindano hayo ni pamoja na Esther na Ellah (Uganda), Frankie (Rwanda), JJ (Zimbabwe), Lilian na Tayo (Nigeria), Sabina (Kenya), Permithias (Namibia) na Laveda (Tanzania).
Katika hatua nyingine mshiriki wa pili wa Tanzania, Idris yupo salama wiki hii.