UZINDUZI WA ‘NAMCHUKUA’ WAFANA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/uzinduzi-wa-namchukua-wafana.html
Uzinduzi wa Video mpya ya wimbo ‘Namchukua’ wa Shilole uliofanyika
katika fukwe za Coco Beach jana ussiku ulifana vilivyo baada ya wageni
waalkwa kupiga show ya uhakika iliyokata kiu ya mashabiki wa muziki
nchini. Haya ndio yaliyojili…


Nuh Mziwanda katika red carpet wakati wa sherehe za uzinduzi wa video ‘Namchukua’ ya Baby wake Shilole





