Flatnews

SNOOP DOGG ASAINI NA ‘I AM OTHER’ LABEL

Pharrell Williams na Snoop Dogg wakitumbuiza


pharrell-snoop
Pharrell Williams na Snoop Dogg wakitumbuiza
Nyota wa muziki nchini Marekani Snoop Dogg amesaini mkataba na label ya Pharrell Williams inayoitwa ‘I am OTHER’ hivyo album ijayo ya rapa Snoop Dogg itatoka chini ya lebal hiyo wakishirikiana na Columbia Records.
Pharrell anatarajia kuandaa album nzima ya Snoop ambayo itakuwa na wasanii kadhaa watakaoshirikishwa kama Stevie Wonder na Charlie Wilson.
Katika hatua nyingine Pharrell amesema kuwa album hiyo itakuwa kali kuliko hata ile ya kwake. Wakali hao wamewahi kufanya kazi pamoja kabla na kazi zao kufanya vizuriikiwemo ‘Beautiful’ ya mwaka 2003 na ‘Drop it like It’s Hot’ ya 2014.

Post a Comment

emo-but-icon

item