Flatnews

NICK CANNON AWEKA REKODI MPYA

Mtangazaji wa TV- Nick Cannon Mtangazaji wa TV na muigizaji wa filamu nchini Marek...


Mtangazaji wa TV- Nick Cannon
Mtangazaji wa TV na muigizaji wa filamu nchini Marekani, Nick Cannon amevunja rekodi yakuchukua selfies (kujipiga picha mwenyewe) zaidi ndani ya saa moja.
Cannon ambaye ni mtaalamu wa kupiga selfies ameweka rekodi kwa kupiga selfies 283 mfululizo na kuvunja rekodi iliyokuwepo ya selfies 279 kwa saa moja.

Katika hatua nyingine Cannon ambaye ni meneja wa Amber Rose ameachana na mke wake Mariah Carey hivi karibuni.

Related

Music 4225133366334650143

Post a Comment

emo-but-icon

item