Picha 16 T.I alivyopokelewa baada ya kutua uwanja wa ndege Dar es salaam.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/picha-16-ti-alivyopokelewa-baada-ya.html
Tunajua rapper T.I kutoka Marekani ni
mmoja wa wakali ambao wamepewa hati miliki ya stage ya tamasha la Fiesta
linalofanyika leo viwanja vya Leaders Kinondoni Dar es salaam likiwa na
wakali wengine kama Diamond, Ommy Dimpoz, Nay wa Mitego, Waje, Stamina,
Mwana FA, Victoria Kimani, Linah naVanessa Mdee.















