MWANA F.A LAZIMA NIMKALISHE TI….
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/mwana-fa-lazima-nimkalishe-ti.html

Msanii maarufu katika tasnia ya muziki Mwinjuma a.k.a MwanaFa hapo juzi amesikika akitoa tambo zake kwenye kituo kimoja cha radio hapa nchini kuwa atamkalisha msanii wa kimataifa T.I ambaye anakuja nchini kwenye tamasha kubwa ambalo hufanyika kila mwaka . MwanaFA alisikika akisema kuwa lazima T.I akae na akamwambie Lil Wayne na wengine wengi kuwa Tanzania ni hatariii