NAIBU WAZIRI WIZARA YA USHIRIKIANO ATEMBELEA MELI YA RV JUMUIYA JIJINI MWANZA
Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Juma Abdulla Saadala mwenye kofia akioneshwa namna Meli ya RV Jumuiya in...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/naibu-waziri-wizara-ya-ushirikiano.html
Naibu
Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Juma Abdulla
Saadala mwenye kofia akioneshwa namna Meli ya RV Jumuiya inavyofanya
kazi na nahodha wa meli hiyo Captain Juma Nkwama jijini Mwanza.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Juma Abdulla
Saadala akitia saini kitabu cha maudhurio ndani ya Meli ya RV Jumuiya.
Naibu
Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Juma Saadala
akifafanua jambo ndani ya Meli ya RV Jumuiya katika kikao chake na
naodha wa meli hiyo Peter Nkwama na Muhandisi wa meli hiyo Herman
Bundala.
Meli ya RV Jumuiya Meli ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiwa gatini jijini Mwanza