Umeziona Picha za Waje kutoka Nigeria akiwasili Dar kwa ajili ya Fiesta! hizi hapa
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/umeziona-picha-za-waje-kutoka-nigeria.html
.
Msanii wa kwanza Waje kutoka Nigeria ameshawasili usiku wa kumkia Oct
16 baada ya mameneja wa T.I kuwasili ambapo list nzima ya wasanii wa
kimataifa bado imesaliwa kukamilika kwa ajili ya Serengeti Fiesta 2014
Jumamosi Leaders Club Kinondoni, hizi ni baadhi ya picha za kuwasili kwa
Waje.
.
.
.
.
.
.
.