http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/mti-wa-ajabu-washangaza-wananchi-huko.html
Huko mkoani Tabora, mti uliokuwa umeanguka miaka mitatu iliyopita umesimama ghafla na kwa sauti kubwa ya mrindimo .
Wananchi wamekusanyika kila mmoja akitaka kuchukua angalau gome la
mti huo kwa ajili ya dawa ama kumbukumbu , na haya ndio maajabu ya
Tanzania.