KINANA AWATAKA VIONGOZI WA CCM MAFIA KUFANYA MAENDELEO KWANZA
Umati wa wananchi wa Mafia wakimsikiliza mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia wananch...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/kinana-awataka-viongozi-wa-ccm-mafia.html
Umati wa wananchi wa Mafia wakimsikiliza
mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa
akiwahutubia wananchi hao.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya
Mafia ambapo aliwataka Viongozi wa CCM waache mkorogano badala yake
wafanye shughuli za maendeleo kwanza.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mafia kwenye uwanja wa Mkunguni stendi ya Mabasi mjini Mafia.
Naibu Waziri Nishati Charles Kitwanga
akihutubia wakazi wa Mafia ambapo aliwaambia Mafia ndio wilaya pekee
itakayopata Umeme kwa asilimia 100%.



