Flatnews

PEP GAURDIOLA AWAONYA MANCHESTER UNITED, NI KUHUSU NINI? SOMA HAPA

  Pep Guardiola amewaonya Man United


 1410879924773_wps_2_MUNICH_GERMANY_SEPTEMBER_
Pep Guardiola amewaonya Man United
KOCHA wa Bayern Munich, Pep Guardiola amewaonya Manchester United kuwa hawawezi kumudu kuwanunua wachezaji wake bora na amedai hataki kuona nyota wake kama Arjen Robben, Bastian Schweinsteiger na Thomas Muller wanakwenda kucheza ligi kuu England.
Aliulizwa jana mchana kama aliwahi kumkataliwa Louis van Gaal kusajili wachezaji wake, Guardiola alitikisa kichwa na kusema: Hawana (United) hawakuwa na hela za kutosha”
The Bayern boss has issued a hands off warning to Manchester United regarding his star players

Post a Comment

emo-but-icon

item