Flatnews

BARAZA LA WANAWAKE CHADEMA KUANDAMANA KWA AMANI WIKI IJAYO


Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Taifa Chadema, (BAWACHA), Halima Mdee akisisitiza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam  leo juu azma ya baraza hilo la wanawake kufanya maandamano makubwa ya kumshinikiza Rais Jakaya Kkwete asipokea rasimu  iliyotengenezwa na bunge maalum la katiba. mwenyekiti huyo alimesema maandamano hayo yamepangwa kufanyika katika wiki ijao hajataja siku gani lengo kubwa la maandamano ni kufikishwa ujumbe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Kikwete kuwa rasimu hiyo si ya wananchi huku akisema yatakuwa ya amani tuu


Baadhi ya wakazi wa mji wa dodoma leo wakipita mbele ya uzio wa Ofisi kuu ya CCM Mkoa huku  wakisoma ujumbe ulioandikwa kwenye uzio wa CCM  wenye maandishi yanayosomeka  Ufisadi no Katiba ,ujumbe huo haukujulikana umeandikwa na Watu gani  katika maeneo mbalimbali mjini hapa Dodoma

Post a Comment

emo-but-icon

item