Flatnews

AMBER ROSE ATUPIA PICHA INSTAGRAM NA KUANDIKA MANENO HAYA


Siku mbili zilizopita Amber aliachana na bwana wake ambaye ni msanii mkubwa katika soko la muziki ulimwenguni,Wiz Khalifa, stripper wa zamani na mke wa rapper Wiz Khalifa,sasa bila kujua kwa nini amefanya hivyo ameamua kupost picha ya utupu kupitia akaunti yake ya Instagram. 
Ameiandikia haya maneno picha hiyo: 
“Well before anyone tries to hack me I figured I’d release a brand new pic of how I actually look from the back. It’s only right… Enjoy”.

Post a Comment

emo-but-icon

item