Mwanamke Apigwa Mawe Hadi Kufa Huko Somalia Baada ya Kufanya Mapenzi Nje ya Ndoa...bofya hapa umuonee
Mwanamke mmoja ameuawa kwa kupigwa mawe nchini Somalia na kundi la wanamgambo wa Al Shabaab.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/mwanamke-apigwa-mawe-hadi-kufa-huko.html
Ripoti zinasema kuwa takriban watu 200 akiwemo gavana wa eneo hilo walishuhudia watu wakimpiga mawe mwanamke huyo kwenye mji wa Barowe.
Mwanamke huyo wa umri wa miaka 30 alikuwa ameshutumiwa kwa kufanya mapenzi nje ya ndoa.
Wadadisi
wanasema kuwa mauaji hayo ni ishara ya ushawishi wa kundi la Al shabaab
hata baada ya kushambuliwa na serikali ya Somalia pamoja n