UNAJUA KADI NYEKUNDU YA PEPE ILIANZIA WAPI? SONGA NAYO...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/unajua-kadi-nyekundu-ya-pepe-ilianzia.html
Hakuna njia hapa kaka!: Thomas Muller (kushoto akizuiliwa na Pepe kipindi cha kwanza
Umenipiga bhana wewe!: Muller akiugulia maumivu baada ya kupigwa na mkono wa Pepe
Jamaa yangu wewe nouma! : Muller
(kushoto) akianguka chini huku akiwa amezuia uso wake na mikono yake,
huku Pepe akiendelea kufanya yake
Majibizano: Pepe akimfuata Muller baada ya tukio
Hapa una kadi kaka!: Pepe akimuangalia Muller
Muller akiwaka baada ya kugongwa kichwa na Pepe akiwa amekaa chini
+22
Squaring up: Muller angrily reacts after the Portugal defender's act of violence
+22
Off you go: Pepe (second right) is sent off as Muller (left) is held back by team-mate Toni Kroos