PSPF KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA UMMA JUU YA MAFAO WAYATOWAYO KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/pspf-kuendelea-kutoa-elimu-kwa-umma-juu.html
BAADHI
YA MAOFISA KUTOKA MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA Umma 'PSPF' WAKIWA
TAYALI KUWASIKILIZA WATU MBALIMBALI KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
WAKATI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA |
Afisa
uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw,Hadji
Jamadary kulia akimpatia maelezo Bw,Arbogast Nzeyimana wakati wa
maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma
Afisa
uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw,Hadji
Jamadary kulia na ofisa wa mfuko huo Bi, Leila Laizer wakimpatia maelezo
Bw,Kambilo Crement wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma
Afisa
wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma Bi, Leila Laizerkulia
akisalimiana na mtumishi wa manspaa ya Temeke idara ya maendeleo ya
jamii Bw.Emanuel Hinjo alipotembelea banda hilo katika mahazimisho ya
wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es
salaam
maandamano
wafanyakazi wa PSPF wakipita mbele ya mgeni rasmi
banda la PSPF lilivyo katika viwanja vya mnazi mmoja