Flatnews

Ujerumani 4-0 Ureno

20:48 Thomas Müller ndiye mchezaji wa kwanza kufunga mabao matatu katika kombe la dunia huko Brazil ...


20:48 Thomas Müller ndiye mchezaji wa kwanza kufunga mabao matatu katika kombe la dunia huko Brazil
Mfungaji mabao matatu ya Ujerumani Thomas Müller
20:48 Lukas Podolski achukua nafasi yake Thomas Müller
20:39 Matokeo kufikia sasa Ujerumani 4 - 0 Ureno
20:38 Thomas Mueller anafurukuta nipenikupe kwenye lango la Ureno na kufuma mpira uliotemwa na kipa wa Ujerumani
20:38 Ujerumani yafunga bao la 4
20:38 BAOOOOOOO la $
20:36 Ronaldo amlalamikia vikali refarii kuwa anapaswa kuwepa penalti lakini reafri haskii lolote anasema mpira uendelee
20:35 Ronaldo aishambulia lango la Ujerumai lakini mkwaju wake unapanguliwa .
20:32 Ureno ikiongozwa na Christiano Ronaldo hawana jibu ya nipe nikupe ya Ujerumani.
Ujerumani imefungua kampeini yake kwa kishindo ikiiadhibu Ureno 3-0
20:32
20:31 Dakika ya 70 Ujerumani 3-0 Ureno
Kisa kilichompelekea pepe kuoneshwa kadi nyekundu awali katika mechi hii
20:22 Matokeo kufikia sasa dakika ya 60 ya kipindi cha pili Ujerumani 3-0 Ureno.
20:21 Mesut Ozil apumzishwa nafasi yake inachukuliwa na Andres
Ujerumani yafungua kampeini yake kwa kishindo dhidi ya ureno huko Brazil
20:20 Ujerumani yafungua kampeini yake kwa kishindo dhidi ya Ureno huko Brazil

Post a Comment

emo-but-icon

item