NIgeria 0-0 Iran
22:17 Matokeo bado ni Nigeria 0-0 Iran dakika ya 17 ya mechi zimekamilika hapa katika uwanja wa ...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/nigeria-0-0-iran.html
22:17 Matokeo bado ni Nigeria 0-0 Iran dakika ya 17 ya mechi zimekamilika hapa katika uwanja wa Baixada ulioko Curitiba
22:11 Ogenyi Onazi anauguza jeraha 22:06 Nigeria yapata kona ya kwanza inayochukuliwa na Victor Moses

Mashabiki wa Iran kabla ya mechi
21:58 Iran ambao ni mabingwa mara tatu barani Asia wanaorodheshwa katika nafasi ya 43 katika orodha ya FIFA.

Nigeria ni mabingwa wa Afrika
21:56 Mabingwa wa Afrika Super Eagle ya Nigeria wanakabiliana na mabingwa wa Asia Iran
21:55 Timu za Iran na Nigeria zinaingia uwanjani tayari kwa mechi yao ya ufunguzi wa kampeni ya kuwania fainali za kombe la dunia huko Brazil.
