RAIS KIKWETE KUWALETA TREY SONGZ NA USHER RAYMOND MWEZI UJAO KUZUNGUMZA NA WASANII WA FILAMU NA MUZIKI.
Rais Kikwete na baadhi ya wasanii
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/rais-kikwete-kuwaleta-trey-songz-na.html
![]() |
| Rais Kikwete na baadhi ya wasanii |
Rais
Kikwete anatarajia kuwaleta nchini wanamuziki maarufu wa Marekani Usher
Raymond na Trey Songz mwezi ujao yaani July.Wasanii hao watatumbuiza na
pia kuzungumza na wasanii wa muziki na filamu nchini kwa mujibu wake
mwenyewe. Juzi wasanii na Rais Kikwete walikuwa Dodoma katika uzinduzi
wa video ya campaign ya Muungano.
CREDIT : SWAHILI PLANET
![]() |
| Trey Songz na Usher Raymond |

