NIMESHA CHAFUA SANA SASA NATAKA KUOA ''HEMEDY PHD''
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/nimesha-chafua-sana-sasa-nataka-kuoa.html
muna akiwa kwenye pozi tata
Msanii
wa filamu nchini Hemedy aka PHD mwenye mikogo kuzidi mabilioni ya Dr
dre amesema baada ya kuchafua sana sasa anataka kutulia na kuoa kabisa.
Hemedy alisema hayo alipokuwa
akiongea na paparazi, Phd alisema kuwa "Nimechafua sana more
than sana nikaona hii bora iishe
maana mama yangu anataka vitu ving kutoka kwangu so nimepata msichana
ninaye mpenda na yeye ananipenda so natarajia kufunga ndoa mwezi
november huyu ndiyo mchumba wa Hemedy anaitwa Muna aka Momo
Hemedy akiwa na mchumba wake Muna