Flatnews

MZEE WA UPAKO AMPAKA MCHUNGAJI GWAJIMA HADHARANI, ''ADAI KAMA ANAFUFUA MISUKULE MBONA HAMFUFUI BABA NA MAMA YAKE?''

Mzee wa Upako Anamvua nguo GWAJIMA Hadharani Posted by Udaku Specially Slider , Udaku Spesho 8:13 AM


Mzee wa Upako Anamvua nguo GWAJIMA Hadharani
Kasema Gwajima anafanya hadaa kwa wafuasi wake, kasema kama kweli anafufua misukule, mbona hafufui watu wanaofahamika?
Hafufui baba na mama zetu, hafufui majirani zetu, anafufua tusio wajua?

Gwajima mzee wa HUMMER3 na wafuasi wake mna lolote la kuoangea?

Post a Comment

emo-but-icon

item