Flatnews

ALI: PICHA...MAGARI MATATU YAGONGANA


  
Magari matatu yamegongana kwenye makutano ya Barabara ya Ubungo-Mabibo Mwisho na Barabara ya External jijini Dar es Salaam.Ajali hiyo imelihusisha gari dogo lenye namba za usajili T 218 CVK, Canter lenye namba za usajili T 820 BYR na Lori lenye namba T 779 AWC. Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha.

Post a Comment

emo-but-icon

item