Adha
ya Foleni jijini Dar es Salaam imemkumba mbunge wa Bunge la Afrika
Mashariki kutoka nchini Tanzania, Shy-Rose Bhanji aliyekuwa akisafiri
kwa ndege na kulazimika kukwea bodaboda ili imuwahishe Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Dar es Salaam hii leo.