AGNESS MASOGANGE USO KWA USO NA CORAZON KWAMBOKA WA KENYA..
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/agness-masogange-uso-kwa-uso-na-corazon.html
Daah NOUMA sana, Katika hali ya
kufurahisha wadada wanaotikisa hapa Afrika Mashariki kwa kuwa na
maumbo ya HATARI... Corazon kutoka Kenya na Masogange kutoka hapa 255.
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM Masogange alianza kwa kuweka picha ya Corazon na kuandika "I'm in love with her watu na ma ass yao duh mm hapa sigusiii ndukiiiii@lilythegenie"
Baada ya muda mfupi kupita, Corazon nae aliweka picha ya Masogange na kuandika"This chick though, blazing! Fire! Face, complexion, figure, wonderful heart.. love her to bits@misgerald #kisses. She my WCW for real"

Hii ni kwa mara ya kwanza kwa wawili hawa kusifiana huko INSTAGRAM....