Flatnews

SENETA WA KENYA AVAA NGUO HII NA KUWAACHA VIONGOZI WAKIMSHANGAA


Seneta mike sonko
Senator Mike Sonko hivi karibuni ameweshangaza rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na makamu wake Ruto kwa kuvalia vazi ambalo sio sahihi kwenye shughuli kama iliyokuwa ikiendelea na kuonekana tofauti na kila kiongozi aliyekuwepo eneo hilo.

Seneta mike sonko
Uhuru na Ruto walishindwa kabisa kuzuia mshangao wao na kuanza kuongelea vazi hilo huku wakicheka kama vile ni kituko kuwa kiongozi kama Sonko amevaajeans iliyochanika chanika huku juu akiwa amevalia suti na tai nzuri tu.

Post a Comment

emo-but-icon

item