Flatnews

BASI LA ABIRIA LAPATA AJALI ENEO LA KIBITI MKOA WA PWANI


Basi lilanlodanya safari zake kati ya Mbagala Rangi Tatu na Kimanzichana lapata ajali jana katika eneo la Kibiti, Mkoa wa Pwani. Mpaka tunaondoka eneo la Tukio hakuna taarifa ya aliyepoteza maisha.

Post a Comment

emo-but-icon

item